Recent content by Vipodozi Haramu

  1. V

    DOKEZO Vipodozi vilivyopigwa marufuku vinauzwa kama njugu Matu-Kitetoi, serikali iingilie kati

    Kwa Sasa anasafirisha Vipodozi kwenye mifuko ya mahandi na Alizeti, anachanganya Vipodozi vya magendo kwenye Mahindi na Alizeti
  2. V

    DOKEZO Vipodozi vilivyopigwa marufuku vinauzwa kama njugu Matu-Kitetoi, serikali iingilie kati

    Kwasasa anasafirisha Hivyo Vipodozi anaficha kwenye magunia ya Mahindi na Alizeti. Anaweka katikati ya magunia ya Alizeti na Mahindi Eli asafirishe Kwa urahisi. Huyo ndio Modi Vipodozi Don wa Vipodozi ukanada wa Kiteto - Manyara
  3. V

    DOKEZO Vipodozi vilivyopigwa marufuku vinauzwa kama njugu Matu-Kitetoi, serikali iingilie kati

    Hivi Vipodozi Haramu Vilivyopigwa Marufuku vimemtajirosha ukiangalia Miamala ya kwenye Akaunt yake Imenona Kila week anapokwa mamilioni kwenye hiyo mizigo ya Vipodozi kutoka Congo, Zambia na South Africa
  4. V

    DOKEZO Vipodozi vilivyopigwa marufuku vinauzwa kama njugu Matu-Kitetoi, serikali iingilie kati

    Fika Dukani Kwa Mody Vipodozi umulize akuonyeshe anazo sample nyingi tu Karibu Matui Kwa Modi Vipodozi , uobe hivyo Vipodozi Haramu vikojee, huyu ni agent mkubwa wa kussuply mizigo Haramu yote
  5. V

    DOKEZO Vipodozi vilivyopigwa marufuku vinauzwa kama njugu Matu-Kitetoi, serikali iingilie kati

    Tunaomba Serikali yetu sikivu iangalie hili janga la Vipodozi Haramu vinavyouzwa kama njugu hapa Matui na bwana moja anayejieta ni Agent wa Vipodozi kutoka Congo, Zambia na South Africa, huyu mtu ambae anajieta Jina la hivyo Vipodozi anauza hadharani hivyo Vipodozi ambavyo vimepigwa Marufuku na...
Back
Top Bottom