Recent content by Vinyovyaruge

  1. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

    Hata nabii Ibrahim aliambiwa amuondoe mjakazi wake Hajir na mwanae baada ya kuingilia ndoa yake na Sarah. Ndo mana hadi leo kuna waisrael na wapalestina. Mungu atawabariki huko huko walipo. Bye.
  2. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

    Asante kunihurumia. Pia nawashukuru wote kwa ushuriki wenu. Nimeelewa kuwa sipo peke yangu, kuna wababa waliowatia mimba hadi binti zao wa kuwazaa nk. Wa kwangu miye kawatia mimba mabinti wa umri wa miaka 18_19 ndani ya muda wa miaka zaidi ya 10, sio mfululizo. Pia nimegundua watu wengi...
  3. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

    Wosia tayari upo. Mali sio issue
  4. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

    Mapenzi......wivu....hofu ya kuachwa......magonjwa...
  5. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

    Kama kuna kitu huwa hakinipi shida ni mali tulizonazo. Mungu analijua hili na ndo maana kanibariki kwa hilo. Pia kati yetu yoyote anaweza tangulia mbele za haki. Halafu, je wewe unajua kichomo ndani ya wosia huo? Pengine watoto wote wamegaiwa mgao. Mimi shida yangu kubwa ni kuwa na mume wangu...
  6. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

    Wanakuwa waoga mwanzoni badae wazoefu na dharau juu
  7. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

    Tayari tushaandika wosia. Ila pia sikatai kuwasaidia maana ni ndugu wa wanangu. Mali na takataka zote tulizo nazo tutaziacha
  8. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

    Kweli kabisa. Ila hata yenyewe haijiendeshi. Kwa sasa nafanya kazi mwenyewe tukisaidiana na mr.
  9. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

    Mi nalaumu wote, hasa mume kwa kutojielewa. Ndo mana mabinti wote hao bado ninawasiliana nao
  10. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

    Kwa taarifa yako kesi yangu si ya kwanza kutokea. Hata hao unaowaita wake wenza hAwakuoewa mimba kwa siku moja ni miaka inapita ndipo inatokea. Kama ulidhani nitaachana na mume wangu hilo halitotokea utasubiri sana tu maana alichokiunganisha Mungu...utamalizia. Sina pressure wala magonjwa yoyote...
  11. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

    Huo utamu unaishaga, hawana tofauti na wanawake wengine boss
  12. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

    Hata Ibrahim aliambiwa na Mungu amuondoa kijakazi Hajir alipopata ujauzito wa boss. Sababu hasa ni kuepusha mauaji au migongano
  13. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

    Kweli kabisa mwisho wake huwa mbaya. Bora uwe unasikia tu sio kuishi nyumba moja
  14. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

    Ukishamuoa na yeye anakuwa wa kawaida tena zaidi ya mkeo. Halafu unaendelea kugonga hg uliyemuwekea
  15. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

    Ndio watawasiliana badae
Back
Top Bottom