Recent content by vinkg

  1. V

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mihogo

    Hiyo mihogo ni aina gani (yaani mbegu gani). Aksante
  2. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta Carwash

    Nina eneo mt 100 kutoka barabara ya sheikhlango Sinza A. karibu na ukumbi wa harusi, bar, garage, kinyozi, na mfereji wa kutiririsha maji. Umeme na maji yapo. Ilimradi uwe na mashine zako za carwash na uwe tayari kuweka miundombinu sawa kwa kazi yako. Nipigie 0672355824, 0754639615 kati ya saa...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta partner wa biashara

    Sawa mkuu aksanteni kwa support
  4. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta partner wa biashara

    Aksanteni karibuni
  5. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta partner wa biashara

    Kuna fursa nyingi tu Zach biashara hapa kujipanua kama kuonyesha mipira vyakula Aina zote kama michemsho, nyamachoma, Samaki na kukaanga na. Kama Una wazo jipya ni PM tutajadili aksanteni
  6. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta partner wa biashara

    Number yangu ya Simu ni Voda 0754639615 na Tigo 0672355824 katika tangazo hilo happy juu
  7. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta partner wa biashara

    Biashara ya mgahawa, beer na vinywaji baridi Eneo la Sinza A, off sheikhlango road, DSM, njiapanda kwenda Mlimani City. Kuna SOKO zuri pamezungukwa na kumbi za harusi, garage ya magari, stand ya taxi na daladala,mafundi seremala na wachonga vyuma na majiko, Chuma chakavu wasukuma mikokoteni...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Walichokosea Balton na Watengezaji wengine wa Green house kwa maeneo ya pwani/Dsm

    Nd Laswai naomba contact yako nimefuatilia uzi wako ni material Mi naitwa kigalu tel 0672 355 824 aksante
  9. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wapangaji wa Stockyard

    Natafuta wapangaji wawili tofauti wa stockyard yangu pembezoni mwa ukuta (cement bricks) ya nyumba yangu Sinza A (karibu nakituo cha bus kwa Remi) off Sheikhlango road PANAFAA BIASHARA YA: 1. Kuuza mbao na mirunda rejareja na jumla kuchana na kuranda mbao kwa machine, steel hardware, vifaa vya...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta wapangaji wa stockyard

    Natafuta wapangaji wawili wa stockyard iliyo pembezoni mwa ukuta (wa cement bricks) wa nyumba yangu Sinza A off sheikhlango road INAFAA BIASHARA YA: 1. Kuuza mbao na miti ya mirunda rejareja na jumla, kuchana na kuranda mbao kwa machine, kustock na kuuza rejareja steelhardware, vifaa vya...
  11. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta mshirika(partner) wa biashara ya bucha

    Ndugu uliyeuliza "projected returns zikoje" swali zuri la kiufundi (technical). Niseme tu hii ni biashara ndogo ya kiujasiriamali (siyo kampuni) kiasi cha kuweka hapa JF detailed Start Up Business Plan au Projected Plans ambayo ita-reflect Projected Returns. Ila kama uko serious kuingia ubia...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta mshirika(partner) wa biashara ya bucha

    Mkuu mkataba utakulinda na vigezo kwenye mkataba vitazingatiwa. tunaweza anza na mtaji mdogo na ukakua kadiri ya biashara inavyoendelea. Usisiwe na shaka mimi ni mwaminifu na mcha Mungu pia dhuruma kwangu ni dhambi nipigie simu kwa mawasiliano zaidi aksante
  13. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta mshirika(partner) wa biashara ya bucha

    Aksante mkuu ni biashara ya butchery (kuuza nyama ya ngo'mbe). Tutaajiri muuzaji au kama partner ana uzoefu huo utakuwa pia mchango wake kudhi iti biashara aksante karibuni!
  14. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta mshirika(partner) wa biashara ya bucha

    partiner awe na: 1. Mtaji kama million 2 kwa ajiri ya mtaji na vitendea kazi 2. Awe mkazi wa Daresalaam, mwenye ueledi na ushirikiano MCHANGO WANGU 1. Eneo la butcher, ni kwenye uzio wa nyumba yangu unaoangalia barabara, kwa hiyo hamna kodi 2. Umeme na maji 3. Nitatafuta leseni 4. nitasimamia...
  15. V

    JamiiForums Tanzania Karibu kitenge na viatu

    naomba no yako ya simu nimependa vitenge hivo no yangu ni 0672355824
Back
Top Bottom