habari wandugu, nauza simu aina ya iphone X, imetumika kwa miezi mitano tu.
Ina uwezo wa gb 256,[emoji736]
Face Lock [emoji736]
True tone [emoji736]
Kwa mwenye uhitaji wa simu hii bei ni 800,000 tu.
Napatikana ubungo, namba ni 0744575261.
Karibu.
Habari za jioni wakuu, mbele yenu ni kijana mfanya biashara wa nguo mbalimbali za kiume tazama baadhi kwa picha hapo chini.
Bei zetu ni nafuu Sana
T.shirts kwa 17000 tu.
Mashati kwa 18000 tu.
Kadeti kwa 22000 tu.
Pia kuna Bei ya jumla kwa mteja (kuanzia 3 pcs).
Tupo Kariakoo mtaa wa Aggrey na...
Habari za weekend, tunauza suruali Aina ya kadeti Zina ubora wa juu, na zinadumu kwa Hali hiyo muda mrefu.
Bei ni elfu 23 kwa Rejareja
Offer ipo kwa mteja ukinunua kuanzia tatu utauziwa kwa elfu 60 tu.
Tunapatikana Kariakoo mtaa wa Kongo na aggrey.
Pia kwa wateja wa mikoani tunatuma mzigo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.