Tuko Mabibo Makutano Karibu na NIT na TGNP.
Ni hoteli ya kiwango cha kuridhisha na huduma mbalimbali kama kumbi za mikutano (Conference facilities), Summit Bar (Rooftop bar), Fine dining restaurant, gymnasium, nk.
Tuko nje ya vurugu na usumbufu wa mjini, hivo ni sehemu mahususi na murua kwa...