Habari zenu wakubwa kwa wadogo,
Heshima kwenu. Naitwa Victor Dawson mkazi wa Arusha. Natafuta kazi ktk kampuni ya kitalii kwani bila kushikana mkono ni ngumu kidogo.
Kwa mwenye wazo au msaada. Ntashukuru sana.
Heri ya mwaka mpya pia.
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.