Recent content by Victormmj

  1. V

    JamiiForums Uvaaji huu unalengo gani hasa?

    Ni mara kadhaa 2 nimekuwa nikiona hawa dada zetu, uvaaji wao wa kanga sio kabisa, cause wanazibana mno tena maksudi nasema hivyo kwa kuwa nishawaotea accidentally kama wawili hiv wanafungua kidogo kisha kuibana madhubuti kama anahis hakuna anayemwangalia. Nauliza hv kwa nn?
  2. V

    JamiiForums Huu ni zaidi ya mkosi, wanaume nimewanyooshea mikono juu!

    Accept it as destiny mamaaa, yupo aliye kwa ajili yako so don't give up. Kazi moyo. (please usihukumu wanaume wote kwa sababu ya mmoja)
Back
Top Bottom