Recent content by VictoniX

  1. VictoniX

    Msaada kwa wazoefu wa kutumia Aliexpress

    ungejaribu kuwasiliana na supplier akupe muongo mzuri zaidi
  2. VictoniX

    Msaada kwa wazoefu wa kutumia Aliexpress

    Hapa nimekuelewa fresh sana Kiongozi shukrani sana
  3. VictoniX

    Msaada kwa wazoefu wa kutumia Aliexpress

    Nimejaribu tumtumia ujumbe muuzaji though bado hajajibu but nipo najiuliza mwenyew maana naona wanajumlisha kabisa na pesa ya usafirishaji wakati nataka kutumia agent mwengine ndomana nkataka kujua inawezekana au Aliexpress hawatoi option hyo
  4. VictoniX

    Msaada kwa wazoefu wa kutumia Aliexpress

    Naomba kujua kama ukitumia Aliexpress kuagiza mzigo kuwa uwezekano wa kutumia agent wengine wa usafirishaji tofauti na options ambazo Aliexpress wanakuwa wameziweka... Yani kwa mfano nataka kuagiza mzigo ila nahitaji kutumia Silent Ocean kusafirisha mzigo wangu, je ni hatua gani natakiwa...
  5. VictoniX

    Naomba msaada kwa wenye kufahamu zaidi nahitaji kuagiza mzigo AliExpress

    Ok, nimekupata kiongozi, vipi kuhusu taratibu za kufungua sanduku la posta vitu gani vya msingi labda vinayohitajika au vya kuzingatia..!?
  6. VictoniX

    Naomba msaada kwa wenye kufahamu zaidi nahitaji kuagiza mzigo AliExpress

    Ko natakiwa kufungua sanduku la posta kwanza au wanatuma kwa posta yoyote iliyokaribu na mahali ninapoishi...!!!?
  7. VictoniX

    Naomba msaada kwa wenye kufahamu zaidi nahitaji kuagiza mzigo AliExpress

    Naomba masaada kwa wenye kufahamu zaidi nahitaji kuagiza mzigo AliExpress nishaweka order zangu kwenye cart lakini sina uzoefu wowote wa kununua bidhaa online kwa njia hii, nimewahi kununua kupitia kikuu pekee... Nahisi namna ya kuagiza sio shida sana maana naweza kusoma kwenye tovuti yao na...
Back
Top Bottom