Recent content by Vicent Kassala

  1. Vicent Kassala

    Anna Elisha Mghwira Agombea Uenyekiti Baraza la Vyama vya Siasa. *Uchaguzi kufanyika kesho

    Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Wazalendo ( ACT Wazalendo ) amepitishwa kugombea Uenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania. Baraza la Vyama vya Siasa Ni chombo kilichoundwa Kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa Kwa Lengo la kuweka jukwaa la Vyama hivyo kujadiliana masuala yenye maslahi...
  2. Vicent Kassala

    ACT Wazalendo kimedhamiria kuchukua jimbo la Dimani Zanzibar

    Chama cha ACT Wazalendo kimejitosa rasmi kushiriki uchaguzi mdogo wa marudio wa jimbo la Dimani huko Zanzibar. Hamad Yussuf leo amechukua rasmi fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Dimani Zanzibar katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (NEC) iliyopo Kiembesamaki Mjini Magharibi Kisiwani Unguja...
  3. Vicent Kassala

    Anna Elisha Mghwira Agombea Uenyekiti Baraza la Vyama vya Siasa

    Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Wazalendo ( ACT Wazalendo ) amepitishwa kugombea Uenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania. Baraza la Vyama vya Siasa Ni chombo kilichoundwa Kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa Kwa Lengo la kuweka jukwaa la Vyama hivyo kujadiliana masuala yenye maslahi...
  4. Vicent Kassala

    Makonda aanze upya, Aombe radhi

    MAKONDA AANZE UPYA, AOMBE RADHI Muhidin J. Shangwe (@ShangweliBeria) Tangu Paul Makonda akiwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni nilikuwa na wazo la kuandika makala yenye kichwa, “MAKONDA ANAPENDA SIFA AU TUNAOGOPA KUMSIFU?” Ilikuwa ni baada ya mwanasiasa huyu kijana machachari “kuteka” vichwa vya...
  5. Vicent Kassala

    ACT Wazalendo wamlilia Fidel Castro

    Ili iweje mkuu? Muhimu ni habari kuwafikia umma.
  6. Vicent Kassala

    ACT-Tanzania yapitisha Katiba (Soma Katiba ya ACT hapa)

    KATIBA YA ACT WAZALENDO. Hii ni SURA YA NNE YA KATIBA YA ACT, Ibara ya 25. 25. ACT-Kata/Wadi (1) Ngazi ya ACT-Kata/Wadi itaundwa katika eneo la kiutawala la Kata/Wadi katika Serikali za Mitaa. (2) Vikao vya Chama vya ACT-Kata/Wadi vitakuwa ni: i) Mkutano Mkuu wa ACT-Kata/Wadi; ii) Kamati ya...
  7. Vicent Kassala

    ACT Wazalendo wamlilia Fidel Castro

    Help to know
  8. Vicent Kassala

    Zitto Kabwe: Serikali ya Rais Magufuli kuifadhili IPTL BIL. 100 2016/2017

    Ndo hivyo imetokea na kutokea na kutokea tena kwa hawa wanaoitwa PAP/IPTL
  9. Vicent Kassala

    ACT Wazalendo wamlilia Fidel Castro

    That's democracy mzee
  10. Vicent Kassala

    ACT Wazalendo wamlilia Fidel Castro

    TAARIFA KWA UMMA. Buriani Komredi Fidel Castro - Mshirika wa Tanzania katika Ukombozi wa Afrika Chama cha ACT Wazalendo kimezipokea taarifa za kifo cha Komredi Fidel Castro, Mwanamapinduzi na aliyekuwa kiongozi (Waziri Mkuu na Rais) wa Cuba (1959-2008) na Kiongozi wa Chama cha Kikomunisti cha...
  11. Vicent Kassala

    Ndoto ya Tanzania ya viwanda, ACT-Wazalendo waishauri serikali ya CCM

    TANZANIA YA VIWANDA: JE, SERIKALI INAYO DIRA SAHIHI KUFIKIA NDOTO HII? Serikali ya Chama cha Mapinduzi chini ya Rais John Pombe Magufuli inaimba ndoto ya Ujenzi wa Viwanda nchini. Hilo ni jambo jema kwa nchi yetu inayopambana ili iendelee kiuchumi na kuondoa umasikini. Viwanda ni sehemu...
  12. Vicent Kassala

    Uchambuzi wa Bajeti wa ACT-Wazalendo kwa mwaka wa fedha 2016/17

    Magufuli anajiona yuko sahihi kwa kila kitu. Hilo ndo tatizo!
  13. Vicent Kassala

    Uchambuzi wa Bajeti wa ACT-Wazalendo kwa mwaka wa fedha 2016/17

    Serikali ya JPM, ilihakikisha umma hauupati uchambuzi huu. Tunauwasilisha kwenu kwa njia mbadala. ======== UCHAMBUZI WA BAJETI YA SERIKALI 2016/17 Kabwe Z. Ruyagwa Zitto (Mb) Kiongozi wa Chama 12 Juni 2016 Dar es Salaam 01. Utangulizi Serikali ya Awamu ya Tano imewasilisha Bungeni Bajeti...
  14. Vicent Kassala

    Zitto Kabwe: Serikali ya Rais Magufuli kuifadhili IPTL BIL. 100 2016/2017

    Kama ya Zitto ni uongo, tueleze wewe ukweli wako unaoujua.
Back
Top Bottom