Recent content by vian kimaro

  1. V

    Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

    Since mwanadamu kuexist kwanza then kufanya maamuzi na makusudi yake mwenyewe,na ameubwa kwa mfano wa Mungu. SO tunaweza sema kila mtu anaUMungu ndani yake ,mawazo hutoka ndani ya mtu na yeye huchagua kitu gani afanye au asifanye kutokana na experience na mazingira. Since we got free will,means...
  2. V

    Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

    Sidhani kama mwanadamu anakusudi la specific la kuwepo duniani. Kila nachokifanya ni kwa ajiri ya uhai wake yeye mwenyewe. Binadamu huchakugua kitu gani afanye,nanna gani awe,hivyo hutengeneza kusudi lake yeye mwenyewe. "existence precedes essence" means that a personality is not built from a...
Back
Top Bottom