Recent content by vee vivian

  1. V

    Naomba msaada wa biashara ya kufanya

    Mtaji BDO Bora niwazungukie kwanz ukikua nafungua
  2. V

    Naomba msaada wa biashara ya kufanya

    Habari wanajamii Mnakumbuka nilileta changamoto yangu na hamkusita kunishauri vyema na sasa ule ushauri mlionipa umezaa Matunda Nawashukuru kwa kila mmoja wapo kwa kusoma story yangu na kutia chochote kitu Moyo ukapoa maana niliwaza mengi Sana kwa wakati ule Ila kubwa Zaidi nilijitahidi sana...
  3. V

    Niishi vipi na uyu baba wa watoto wangu

    Ninawatt wawil mmezama mtoto 2019 January ikawa bahat mbay 2020 Oct nikizaa mwingn na 2021 uyu miwil anaingia mitatu
  4. V

    Niishi vipi na uyu baba wa watoto wangu

    Inawezekn natafuta mchumba uku nimechoka ndoa h hii bdae nikaja kuona n ujinga
  5. V

    Niishi vipi na uyu baba wa watoto wangu

    No wazo zuri ata nawaza ila Na mtt mdogo anamiak 2 nikuenda kazn inabdi nibebe ndomana nilitaka biashar niwalipie ata ada mm nihangaike najua wao wapo shule mpk mda wakurudi nyumbani ninawapitia
  6. V

    Niishi vipi na uyu baba wa watoto wangu

    Ahahahaha jmn asante best
  7. V

    Niishi vipi na uyu baba wa watoto wangu

    Niliacha kufundisha kwasababu nilikuwa nalea mtt
  8. V

    Niishi vipi na uyu baba wa watoto wangu

    Sifundish nilikaa kulea watoto
  9. V

    Niishi vipi na uyu baba wa watoto wangu

    Zamani kabla atujazaa tulikuwa tunaishi na ananipa keshi iyo elf 5 Kwakipind kile n nying gharam za matumiz azikuwa juu my mchel adi 1200 unapata na mpo wawil na tulikuwa atuna familia lakn sasa familia ipo lakin kipato kilekile ..ata uongee ...na wifi yangu yupo na mtt mwingn lakn ni Ile Ile
  10. V

    Niishi vipi na uyu baba wa watoto wangu

    Thank you watt wangu ndo waliobaki acha kupambana nao
  11. V

    Niishi vipi na uyu baba wa watoto wangu

    Naish mbezi ..mpigi magoe ...mwisho unashuka unaelekea kidimu naishi kidimu
  12. V

    Niishi vipi na uyu baba wa watoto wangu

    Amin natak kupambn Mungu aniongoze
  13. V

    Niishi vipi na uyu baba wa watoto wangu

    asante kitu ambayo nakumbuka toka tumeanza kuishi na kuzaa watoto hawa wawil ni ...toka tupo wawil mimi nayy alikuwa anatoa ivoivo ela au ananunua chakula minapika kipindi icho gharama za matumizi bado azijapabda na tunaishi wawil tumekuja kuongeza familia nayo ni vilevile tu najibana nakanae...
Back
Top Bottom