Recent content by vebat

  1. V

    TCU imetangaza majina ya waliokataliwa kuomba vyuo vikuu 2015/16

    Tume ya vyuo vikuu Tanzania imesema kuwa kuna baadhi ya wanafunzi ambao wametuma barua ya kuruhusiwa kuomba vyuo mwaka huu lakini taarifa zao zimekuwa ni za uongo. Hivyo basi wametakiwa kutuma upya taarifa zao ili waweze kuruhusiwa kuomba vyuo upya mwka huu wa masomo 2015/2016.
Back
Top Bottom