Recent content by v.c

  1. V

    Kwanini gazeti la Uhuru hawakuipa Uzito habari ya kifo cha Deo Filikunjombe?

    KIMENISHANGAZA! Kuhusiana na kifo cha Filikunjombe, UHURU ambalo ni gazeti la CCM, ndilo pekee limeipa kichwa kidogo cha habari tena upande wa kulia kwa chini, kuhusiana na kifo hiki, huku kikiipa kampeni ya mgombea wa CCM Dr.Magufuli kichwa cha habari KIKUBWA, wakati magazeti YOTE ya leo...
  2. V

    Nipo natizama TBC nashangaa!

    Hii ndo Tanzania....25th October!...
Back
Top Bottom