Recent content by Uzalendo Club Tanzania

  1. Uzalendo Club Tanzania

    Klabu ya Uzalendo Wilaya ya Kibaha ilipata fursa ya kukutana na kufanya mazungumzo Ndugu Salim Kikeke

    TAREHE 2 MEI, 2025 | KIBAHA Kwa heshima kubwa, Klabu ya Uzalendo Wilaya ya Kibaha ilipata fursa adhimu ya kukutana na kufanya mazungumzo na Mtangazaji Kinara Mstaafu wa BBC na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Crown Media, Ndugu Salim Kikeke. Katika mazungumzo hayo ya kihistoria, Mwenyekiti wa Klabu...
  2. Uzalendo Club Tanzania

    Mchakato wa uanzishaji wa Taasisi ya Uzalendo na Malezi Tanzania (TUMT)

    TAARIFA RASMI | MCHAKATO WA KUANZISHA TAASISI YA KITAIFA YA UZALENDO NA MALEZI TANZANIA (TUMT) Kwa mujibu wa haja ya dharura ya taifa katika kujenga msingi imara wa maadili, uzalendo wa kweli, na malezi chanya ya kizazi kijacho, Klabu ya Uzalendo Wilaya ya Kibaha imeanza rasmi mchakato wa...
Back
Top Bottom