Recent content by uwezo2

  1. U

    Ajira: Panel Beater na Spray Painter (2 Post)

    Wanahitajika mafundi wawili kwa ajiri ya unyoshaji na upigaji rangi magari Katika karakana teule ya Action Auto Garage (authorized dealer wa TOYOTA) Dodoma na Morogoro. Kwa mawasiliano Zaidi pitia tangazo lililobandikwa
Back
Top Bottom