Jf member vituko vipo face book,nna kazi ya unfollow watu kila siku
Tuwasaidie vijana,hata mmoja
Mimi kila nikikutana nao,naongea kwa upendo wana nielewa sana
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kawaida ya wadada kutupia picha na video za makalio katika mitandao.
Kuna madhara makubwa ; wengi ufanya kwa kuangalia leo,tazama utakapofika miaka 50 au 60, iwe wajukuu wako wanaona utajisikiaje ?
Tuchukulie wakati huu unajirusha mara paaa!! Umeolewa kwa...
XAF fedha yao
XAF 1 sawa na TSZ 4.09
Kuna vingi vya kujifunza,nimempeleleza mwenyeji wangu huko
Hela yao strong kuliko yetu
Kuna fursa fulani,nimepata mwenyeji,nataka niende wiki moja tu,ndio maana natafuta VISA
Wenye kujua ubalozi wao tafadhari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.