Siasa ni mchezo sawa na michezo mingine na dhana yake kuu ni ushindani. Lakini ushindi hupatikana tu chini ya uongozi bora. Tatizo la upimzani kwa ujumla wake, ni ubinafsi wa viongozi wao wa kungang’ania madaraka bila kijali uwezo wao wa kuongoza. Hili ndilo shimo la vyama vya upinzani nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.