Boss hata wewe ,ukijihisi umekata tamaa njoo inbox nitakupa mbinu za kusimama tena na kuwa strong💪....Kwanza hesabu baraka alizokupa Mungu, Kuna nyengine ulikaa kwa kusubiria ukafika muda zikakufikia.... Hata kazi, wewe piga interview ...suala la Placement sio lako wala la utumishi, ni la Mungu...
Nakulewa Mkuu, nakuelewa sana... nimepita hiyo hali hadi ubongo unakuwa affected na mawazo yani muda wote unataka ku refresh page ya utumishi uone hata tu kada yako imetoa ili ujipe tumaini majina yasogee.... Pia kama mtu hajapita hiyo hali kukwambia kuwa na subira unaweza mjibu hivi unajua how...
Boss kwa akili zako za kawaida unaweza ku expouse taarifa za ugali wako ? Kwa wanga....Humu ni kama wachawi tu.... Ni sawa na rafiki yako mliyeachana primary akuulize unafanya kazi wapi ili ajue kiwango cha kukuheshimu....
Elewa nimepata kazi taasisi nzuri mtu yoyote ambaye anbgepata asingetaka...
Powa Mkuu utapata, tuu...inshaallah Mwaka 2024 Mungu ataenda kukufungulia Wewe na Wengine pia...Kikubwa Dua na subra...Mimi kuna rafiki yangu aliwahi kaa miezi 8 Database,siku akachomoka
But Niwakikishie Pale Connection Hakuna, cz wameamua kujipambanua kufata haki.... Na hawawezi peleka mtu hajui kwenye offc sababu ungeshasikia taasisi zinalalamika wanapelekwa watu weupe kichwani.
Niwe Mkweli barua yangu ilikuwa signed siku za karibuni haizidi Week...
Ila kwa majamaa niliokutana nao wao walisainiwa muda kidogo...cz ukishapokea inakuwa imefungwa kwenye bahasha ndogo ,so wanakwambia shuka hapo ufungue uisome... Uhakikishe kama ndio yenyewe... So nilikutana na jamaa kama...
Hapa Duniani hakuna kitu kigumu na kizito kama subra.... But kila mwenye kusubiri Basi yupo pamoja na Allah...
Uwe mwingi wa kusubiri...kama rafiki yako alipata kazi, jamaa yako alipata, na unaona shuhuda humu watu wamepata kazi...Basi hata wewe zamu yako ipo utapata....Wote humu tulikataa...
Mimi nilikuwa muhanga kweli wa ajira, na nilikuwaga napigaga ramli kweli kweli... But honestly Nimepata kazi ..na ni sehemu nzuri sana... Na siwezi fikiria kuhama kabisa ...kwa mazingira tu niliyoyakuta ...nafikiri carrier yangu ita grow much fast nikiwa pale .. cz kuna mazingira rafiki yote ...
🤣🤣 Kaka so yanini nidanganye yani napata faida gani?? Hivi unajua maumivu ya ujobless wewe?? ...Boss Mimi nimeshajipata.... Na evidence nitakayoitumia ni siku nafika offcn nitakuwa nawapigia picture from monday to friday but bila kuonyesha sura yangu... Tena nitakuwa nawaambia leo naenda kazini...
Mkuu Nipo ,nilikuwa nafanya mizunguko ya kutafuta viwalo kidogo huku Dar es salaam ... Si unajua masuala ya Utumishi nini... Vikaunda suite vya hapa na pale...
Ila uzi unasikitisha sana, yani nahisi hata huyo IT akiona hayo Ma PDF anaendelea kukalia yani... Mtu hana ajira ana discuss salary 🤣🤣...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.