Recent content by utulivugroups

  1. U

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Lushoto (TANGA) Ajira Mpya 2026, Kada ya ELIMU hatujapewa pesa ya kujikimu

    Muungwana husema Asante Anapofanikiwa , Shukran saana wanazengo Kada ya Elimu Ajira Mpya Jan 2026 Halimashauri ya Lushoto tupewa Posho ya Kujikimu.
  2. U

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Lushoto (TANGA) Ajira Mpya 2026, Kada ya ELIMU hatujapewa pesa ya kujikimu

    Halmashauri ya Lushoto (TANGA) Ajira Mpya 2026, Kada ya ELIMU hatujapewa pesa ya kujikimu. Tukidai Kwa wakuu wa Idara wanatujibu hovyo Soma Pia: Ajira Mpya 2026 Ruvuma - Namtumbo Kada ya Afya hatujapewa fedha ya kujikimu Wenzetu Kada ya Afya 2026 tulioripoti pamoja wao wamepesa stahiki zao...
  3. U

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Lushoto - Tanga : Posho za Kujikimu zimechelewa kwa Watumishi

    Halmashauri ya Lushoto inachelewa kuwapa Watumishi Posho zao za kujikimu walioajiriwa Mwaka 2026, hivyo kufanya vijana kuishi kwa ugumu huku Ugenini. Wakati Halmashauri nyingine ndani ya Mkoa na Mikoa jrani zimeshalipa Posho ya kujikimu. ======================== Tunaomba utupazie sauti sisi...
Back
Top Bottom