Recent content by Utadata

  1. U

    Monduli pamekucha,vijana wajipanga kwenda kwa mh lowassa kumjulisha chaguo lao kwa kiti cha ubunge

    anaenda kuomba baraka na vijana gani na vijana ndo sisi[wazawa]wa monduli mjini? mara ya mwisho kukaa kikao na vijana wa monduli ni lini akiwa kama diwani wa md mjini? tunamfaham, je? elimu yake inatosha kutumwa bungeni na kisiwa chenye wasomi kama kisiwa cha monduli/acording to our future:Mh E...
  2. U

    Presidents Kagame and Kikwete hold talks on the sidelines of the ICGLR Summit - Kampala

    tz inatamaniwa na viongozi wa nchi nyingi 7bu ya ulafi wangu wa vijipesa vya kwendea disko marekani,msipokuwa makini ntauza haka kanchi nikaishi na mwanangu pale newyork huoni nnavyotabasam mda wote? mimi ndo baba fisi.
  3. U

    huu mguu umepitiliza....

    iyo ni namna ya kuwakumbusha wafanyakazi ktk ofisi yake kuwa yeye ndio top na akuna wa kumwambia ki2
  4. U

    dah! kumbe mwanzoni alikuwa mkali hivi? siku hizi yuko wapi?

    kwanza huyu hapa chuga ni karaa coz kawaaibisha wadada wa chuga mbaya
  5. U

    Kwa waliokubali kuolewa na kuoa je kunaukweli hapa?

    wacha usanii wewe utalala na mkeo/mmeo ujifunike mablangeti bado ulale na nguo zote.
Back
Top Bottom