Recent content by Uspeter

  1. U

    Adhabu kwa watoto

    Ndugu zangu napenda kuuliza, Je, inafaa mwalimu kumpiga mtoto kwa kosa la kutopeleka fedha ya kumchangia mwalimu wa kujitolea shuleni ingali hayo ni makubaliano ya walimu na wazazi/walezi?
Back
Top Bottom