Recent content by usijidai_kuna_kufa

  1. usijidai_kuna_kufa

    JamiiForums Tanzania Niliteseka, nikaamua na hatimaye nimefanikiwa kuendelea na maisha yangu

    Upo sahihi pia wa upande mwingine si sahihi ingekua hivo ni ngumu sana kumsahau mtu uliyempenda hasa kama hauja ji keep busy na mambo yako, maana unaweza ukampata mbadala wake ukakuta yeye ni kivuruge mara 2 ya kule ulipotoka
  2. usijidai_kuna_kufa

    JamiiForums Tanzania Niliteseka, nikaamua na hatimaye nimefanikiwa kuendelea na maisha yangu

    Hapo mzee nimekulewa sasa wakati unaishi kwenye hivo vitu mimi nilikua naishi upande wa mahusiano bahati mbaya yakaenda kombo Life style yako nzuri sana sasa kuns wengine humu wanadhani mtu tukisema kutafuta ela basi ndio usifanye vitu vingine, yani iwe ni kutafuta ela tuuu mtu usipende, mtu...
  3. usijidai_kuna_kufa

    JamiiForums Tanzania Niliteseka, nikaamua na hatimaye nimefanikiwa kuendelea na maisha yangu

    Ela tunatafuta mkuu lakini pia tunapotafuta ela tusisahau kuishi maisha
  4. usijidai_kuna_kufa

    JamiiForums Tanzania Niliteseka, nikaamua na hatimaye nimefanikiwa kuendelea na maisha yangu

    Asante sana mkuu, nita update na nitakujuza kua maneno yako yametimia
  5. usijidai_kuna_kufa

    JamiiForums Tanzania Niliteseka, nikaamua na hatimaye nimefanikiwa kuendelea na maisha yangu

    Mkuu hapo awali kabla ya hapa nimewahi kua na mahusiano lakini sikuwahi kushika namba ya demu yoyote sababu sikua na future yao Lakini na wewe ukipata mwanamke ambaye una future nae na kila siku mnawasiliana namba utaimeza tu automatic ila hawa wa kuchapa na kusepa huwezi
  6. usijidai_kuna_kufa

    JamiiForums Tanzania Niliteseka, nikaamua na hatimaye nimefanikiwa kuendelea na maisha yangu

    Mkuu kama vile wataalamu wanavyosema success is summation of small things which you did (ndio maana kina bakhresa wanauza juisi, maji, lamba lamba) Hivyo hivyo mapenzi ni summation ya vitu vidogo vidogo sana ikiwamo pamoja na hio kitu ya birthiday hizo ni indicators ambazo zinakuonyesha kua...
  7. usijidai_kuna_kufa

    JamiiForums Tanzania Niliteseka, nikaamua na hatimaye nimefanikiwa kuendelea na maisha yangu

    [emoji23] Angalia tu usiue hapo, ila nakuulizaje kws hiyo huyo mtoto mama yake humpendi au ilikuaje kuaje hadi ukampa The best gift a father can give to his children is to love their mother, sasa hapo kwako ipo vipi
  8. usijidai_kuna_kufa

    JamiiForums Tanzania Niliteseka, nikaamua na hatimaye nimefanikiwa kuendelea na maisha yangu

    Labda upo sahihi ila kiukweli hapana sio hivyo na hio namba nadhani ni suala la muda tu nitaisahau lakini sio kwamba bado namkumbuka au namuhitaji na hata kama atanitafuta nita m treat kama rafiki hapa namaanisha hua sina kinyongo na mtu yoyote
  9. usijidai_kuna_kufa

    JamiiForums Tanzania Niliteseka, nikaamua na hatimaye nimefanikiwa kuendelea na maisha yangu

    Ok sorry mkuu hapo sasa ndio nimekuelewa, upo sahihi kabisa
  10. usijidai_kuna_kufa

    JamiiForums Tanzania Niliteseka, nikaamua na hatimaye nimefanikiwa kuendelea na maisha yangu

    Nyie watu mnanishangaza yani kila mtu akileta jambo humu ooh tafuteni pesa, mkuu kwani aliekwambia hatutafuti pesa ni nani? Au kuna siku mimi nimekuomba unikopeshe hata sh. 100 mbovu yaani nyie ndio wale watu ambao ukifanya project hata moja ya wastani utataka kila mtu ajue kua jamaa anafanya...
  11. usijidai_kuna_kufa

    JamiiForums Tanzania Niliteseka, nikaamua na hatimaye nimefanikiwa kuendelea na maisha yangu

    Hapana nao simumii pain is temporary na kwenye maumivu makubwa mabadiliko hutokea yasipotokeoa ujue hukuumia kisawasawa
  12. usijidai_kuna_kufa

    JamiiForums Tanzania Niliteseka, nikaamua na hatimaye nimefanikiwa kuendelea na maisha yangu

    Pole na hongera sana mkuu kama na wewe uliamua ku move on
  13. usijidai_kuna_kufa

    JamiiForums Tanzania Niliteseka, nikaamua na hatimaye nimefanikiwa kuendelea na maisha yangu

    Kwakua umeonyesha madharau na kama unanipima imani nakupa assignment ndogo tu nicheki pm kama una nia kweli nitakudodosea baadhi ya vitu ambavyo vitakufungua hio mitazamo yako hasi na mifano mingine nitakupa ya kwangu
Back
Top Bottom