Recent content by ushokora

  1. U

    JamiiForums Tanzania Naitaji freezer ya kukodi

    Naomba unitafute kwa namba hii tafadhali 0784582281 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. U

    JamiiForums Tanzania Naitaji freezer ya kukodi

    Wakuu amani iwe nanyi Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Mimi naitaji freezer ya kukodi kwa muda wa miezi mitatu tu. Naitaji liwe na ukubwa wa lita 250 hadi lita 500. Mimi naishi kibaha picha ya ndege,aliye nalo tafadhali sana naomba tuwasiliane. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom