Eee mungu tuepushe na hili janga lisitufike kwani huu muda wa miaka mitano mitano uliokuwepo tulitaman hata upunguzwe kwa sababu ya kuona jinsi maisha yanavyozidi kuwa magumu kwa viongozi kujisaau kabisa na kutuacha wananchi tukiangamia.....Wanataka iwe hivyo ili kula ya wateule wa rais izidi...
Ni mtu wangu wa karibu sana na namfuatilia kwa makini sana kwa kuwa nauelewa uwezo wake.....By the way anapigiwa chapuo ili iweje hata bila mm kupost kuhusu yeye ENG.PAMELA MAASSAY TAYARI NI MKALI..KIZURI CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA...GO TO U TUBE ili ujue kama sio wakupigia chapuo kama wewe...
Jamaa huyu dada ni zaidi ya jembe hicho unachokisema si cha kweli siku aliyokuwa hotmix nilimsikiliza pia.Hapa umepotosha.......alijibu hivi "Nimetoka nje kwa sababu naona bunge limepoteza uelekeo na tunazidi kuwaumiza watanzania kuendelea kukaa kujadidi maisha binafsi ya watu na tabia zao...
Habarini za leo wanajamvi?
Nimewia kuandika uzi huu kutokana na kuamini kwamba humu tunajadili mambo mengi tunakosoa na kupongeza pale tunapoona inastahili.
Kuna binti anaitwa Eng. PAMELA MAASSAY ni miongoni mwa wale wajumbe wateule wa rais kupitia kundi 201 kwenda Bunge Maalum la Katiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.