Recent content by Upscale Tanzania

  1. Upscale Tanzania

    Offa ya kufunga mwaka HD CCTV Camera,@ Tsh 30,000/- , DVR four channels Tsh 150,000/-

    HD CCTV Camera, kila moja Tsh 30,000/- DVR Four Channels, Tsh 150,000/- Hii ni offa maalum ya kufunga mwaka, jipatie cctv camera kwa bei poa na uweke ulinzi wa nyumba na mali zako.
  2. Upscale Tanzania

    Offa ya kufunga mwaka HD CCTV Camera,@ Tsh 30,000/- , DVR four channels Tsh 150,000/-

    HD CCTV Camera, kila moja Tsh 30,000/- DVR Four Channels, Tsh 150,000/- Hii ni offa maalum ya kufunga mwaka, jipatie cctv camera kwa bei poa na uweke ulinzi wa nyumba na mali zako. Camera specifications; Higher Resolutions Excellent Colour Noise Reduction Resolution: CMOS 1000TVL Power DC...
  3. Upscale Tanzania

    INAUZWA Big Washing Machine, Tsh 300,000/-

    Ninafahamu ninachokisema na maana ya juu logically niliyosema itabaki kuwa hivyo na ndio inapaswa kua hivyo..... Lakini ngoja nikupe maana ingine ambayo watu wengine mnajua kivingine..... Automatic washing machine in other perspective watu wanasema ni zile zenye drum moja ambayo inazifua...
  4. Upscale Tanzania

    INAUZWA Big Washing Machine, Tsh 300,000/-

    washing machine zipi aina mbili (1) manual ni kama pichani niliyoiweka inatumia mkono tu na haitumii umeme kabisa, (2) nyingine ni automatic, pia automatic washing machine zimegawanyika aina 3, (i) washer only, (ii) washer and dryer, and (iii) dryer only.
  5. Upscale Tanzania

    INAUZWA Big Washing Machine, Tsh 300,000/-

    hizi ndio manual washing machne, unatumia mkono, na hazitumii umeme.
  6. Upscale Tanzania

    INAUZWA Big Washing Machine, Tsh 300,000/-

    karibu mobotu, tupigie 0718032837, 0688184986
  7. Upscale Tanzania

    INAUZWA Big Washing Machine, Tsh 300,000/-

    mkuu kiswahili mbona imejitafsiri yenyewe hapo juu.
  8. Upscale Tanzania

    INAUZWA Pasi ya Umeme Ya Kisasa kutoka Ujerumani, Tsh 50,000/-

    Bei tsh 50,000/- You want Iron Box which is automatic and easy iron your clothes by just selecting the clothing material with no worry of burning your cloth? Yes this is the one your were looking for! Je unahitaji pasi ya umeme ya kisasa ambayo itakurahisishia kupasi nguo kwa kuchagua tu aina...
  9. Upscale Tanzania

    INAUZWA European Deep Fryer, tsh 150,000/-

    Deep Fryer Tsh 150,000/- Brand name Quigg Origin German Capacity Frying food 750g Quantity; more than 5 pieces available With this German made fryer your gurantee is assured to use it for many year to come. Tunapatikana Kariakoo Gerezani, tunatazamana na mageti ya kuingia na kutoka mabasi...
  10. Upscale Tanzania

    INAUZWA Big Washing Machine, Tsh 300,000/-

    These are Big Washing Machine suit For Hotel use or even Commercial Laundry also for Children Boarding Schools. Even for Home use. mashine hizi ni kubwa, zinafaa kwa mahotelini hata kwa ufuaji wa kibiashara, pia kwa shule za wanafunzi wanaolala hukohuko wa english medium. Used Abroad...
  11. Upscale Tanzania

    INAUZWA Simu Iphone 4S, zinauzwa @Tsh 180,000/-

    price is fixed mkuu wangu. karibu ununue ni simu nzuri sana. Tupigie 0718032837, 0688184986
  12. Upscale Tanzania

    INAUZWA Simu Iphone 4S, zinauzwa @Tsh 180,000/-

    Bado zipo ndugu mteja.
  13. Upscale Tanzania

    INAUZWA Simu Iphone 4S, zinauzwa @Tsh 180,000/-

    zima data mkuu wangu na zima 3g network ukiwa huitumii, use edge network ukiwa hutumii data, inasaidi simu kukaa na chaji muda mrefu.
  14. Upscale Tanzania

    Jobs: Watu wa mauzo na huduma ya customer care wanahitajika

    kweli mkuu nimeona mapungufu ya tangazo langu kwenye job descriptions and duties, na watu wamepatia sababu baada ya kusema wenye digrii na Advance Diploma hawatakiwi. Sawa nitarekebisha na kulipost kwingine sio humu jamiiforums watu wengi wapo kuwavunja wengine moyo tu.
Back
Top Bottom