Recent content by UPERE

  1. UPERE

    JamiiForums Ushauri: Biashara ya kufanya kwa mtaji chini ya Tsh 200,000. Eneo la biashara ninalo

    OK bloo Sema ilo eneo apo mwanzo alikuwepo mtu a kifanya biashala iyo lakini aka badili locasion sa uwenda aliona kwa biashala iyo aiwezekani kwa pale
  2. UPERE

    JamiiForums Ushauri: Biashara ya kufanya kwa mtaji chini ya Tsh 200,000. Eneo la biashara ninalo

    Ooooh thank you bloo nime kupata ila pamechangamka kwelii lakini wapo wengi wanao fanya biashala iyoo wengi sanah
  3. UPERE

    JamiiForums Ushauri: Biashara ya kufanya kwa mtaji chini ya Tsh 200,000. Eneo la biashara ninalo

    Ila eneo lipo Mbagala Zakhiem ila bado sijajua nikaweke biashara ghmani kwa huo mtaji nilionao. Naomba ushauri au mawazo yatakayonifanya nijue biashara gani nifanye eneo hilo na kwa guo mtaji.
Back
Top Bottom