Utaratibu wa kubadili kozi upo tangu kipindi cha kuomba nafasi ya chuo kupitia fomu kabla ya mfumo wa TCU haujaanza na wameufafanua vizuri katika tangazo lao ambalo lipo kwenye www.udsm.ac.tz. Kitu cha msingi cha kuzingatia ni kwamba kozi unabadilisha wakati masomo yanaendelea, hivyo uwe radhi...
Nachangia hoja:Unapoomba kozi fulani kwenda kusoma inabidi ujue umeandaa vipi ramani ya kutokea katika kozi hiyo, ni namna ya wewe unavyojipanga. Usipende kusoma kozi kwa kupumbazwa na jina la kozi hiyo, jina la kozi si kigezo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.