Bologonja ni mpaka au geti linalounganisha hifadhi ya taifa ya Serengeti na Maasai Mara Kenya. Geti hili linawezesha mgeni kutoka Kenya Maasai Mara kuingia Serengeti kufanya game drive na kurudi Kenya kupitia mpaka huu.
Mwalimu Nyerere kwa kutumia akili kubwa na busara ya kizalendo kwa maslahi...
Tumeona judge Mtembwa akiruhusu mashahidi wa siri kwenye KESI ya LISSU baada ya maombi ya DPP, ila hili ni angalizo, kama upo mahali au upo JF na umepangwa eti kutoa ushahidi kwa siri dhidi ya LISSU inapaswa kujifikiria sana, hakuna siri kwenye hii dunia maana ni kama mnafahamika tu maana...
Baada ya wajumbe huku chini kideal vizuri na wale waliokuwa machawa, wazembe na waliongia kwenye nafasi za uongozi kwa kubebwa, CCM imeona haiweziishi bila machawa wameona waje na mpango mwingine wa kuhakikisha wanawapitisha huko juu Ili kudharaulisha na kupuuza maamuzi ya wajumbe kwaiyo...
Agenda ya kuweka TOZO kwenye kivuko Ilihali mgeni amelipa kiingilio cha Serengeti kuona kila kitu ndani ya Serengeti ilikuwa agenda ya TATO na wamiliki wa mahoteli katika eneo la KOGATENDE, lengo ilikuwa ni kumiliki lile eneo na kunyima nafasi kwa budget travellers kufika huko.
Baada ya sakata la tour guide kuwaruhusu watalii kushuka kwenye magari kutazama kivuko cha nyumbu ni kinyume na taratibu za uhifadhi pamoja na uongozaji wa watalii lakini ucheleweshaji wa kujenga kivuko hicho Ili kiruhusu watalii kuvuka upande wa pili wa mto Ili kuona vizuri uvukaji wa wanyama...
Acha kuongea kama mlevi...Yani Leo ndo CCM waite mkutano kupitia mtandao tena kwa ajenda inayohitaji ushiriki wa asilimia 100 wa wanachama, unaona kama unaongea na viazi wenzako e?
Ndo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia au ukiwa unaitetea CCM lazima kiwango cha akili kiwe kidogo namna hiyo? Wewe huwezi kupima ukubwa wa mchakato, timing na utaratibu wa kurekebisha kipengele cha katiba unavotakiwa kuwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.