Nafikiri Kuna haja ya kuwa na miongozo kama hii maana serikali huwa inapeleka hela shuleni kwa kila kichwa cha mwanafunzi, hili la kuachiwa bodi ya shule husika nadhani siyo sawa.
Kuna shule tunasikia wanafunzi hawapati kabisa baadhi ya chakula hadi siku Mkuu aamue mwenyewe
Kumekuwa na malalamiko kwa baadhi ya wanafunzi kutopata chakula/milo sahihi kwa baadhi ya shule.
Mfano wali mara ngapi, ugali, nyama mara ngapi kwa wiki? Hili liwe wazi Ili baadhi ya wakuu wa shule wasio waaminifu wasije wakafanya wanavyotaka.
Tatizo la Magu usanii ulikuwa mwingi, kawadanganya watu na wengi walikubali kudanganyika.
Watu waliamini hata vilivyowazi kutokuamini, eti tuliambiwa na sisi tutakuwa tinakopesha kwa wazungu, [emoji23][emoji38]
Hivi mwanzilishi wa kesi ya Mbowe ni nani, siyo mwendazake ila ikamwangukia tu mama?
Mungu wetu ni mwema sana, uzuri kwenye kifo hakuna mbabe wala mnyonge
Kwa maelezo ya IGP kuwa hakufika kuandikisha maelezo, nahisi pia gari ukipata ajali polisi hawahusiki hadi wahanga wafungue jalada kisha ndiyo ajali hiyo ishughulikiwe na polisi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.