Recent content by UniqueTz

  1. U

    Usiogope 400,000 unafanya biashara Kariakoo

    Habari ndugu zangu naulizia mtaa au duka kariakoo ambalo nitaweza kupata kwa bei ya supplier ili niweze kuuza kwa jumla au rejareja tafadhali nisaidieni 1. Vitenge 2. Electronics za jikoni 3. Vyombo 4. Mashuka 5. Mapazia 6 viatu 7. Mikoba ya kike
Back
Top Bottom