Recent content by ungonella wa ukweli

  1. U

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya wanachama wa CHADEMA 5000 wajiunga na CCM Bukoba

    haa haa ccm kwa propaganda ni wenyewe...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa mkoa wa Mara (Serengeti,Tarime)

    haahaa hapo itakuwa ni ghana..
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kingunge, Lissu na Lema kushusha gharika Kigoma na Tabora

    haaa haa duh....
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kingunge, Lissu na Lema kushusha gharika Kigoma na Tabora

    haa haa mkuu usiwasemee watu jisemee mwenyewe. utafiti wa bbc mkoa wa kigoma lowasa anaongoza kwa 42 huku maghufuli akiambulia 32 tu.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kingunge, Lissu na Lema kushusha gharika Kigoma na Tabora

    haa haa mkuu je atawakamua na wale mafisadi waliouza nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa? na pia yule aliyewagawia bure vimada wake?
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kingunge, Lissu na Lema kushusha gharika Kigoma na Tabora

    afadhali hata ukawa. maana ccm wanatumia kodi zetu na raslimali za serikali kujipigia kampeni......
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kingunge, Lissu na Lema kushusha gharika Kigoma na Tabora

    tunaomba ukawa anzeni mara moja. pia dada Halima aingizwe kwenye kikosi cha ardhini ili akawanadi wagombea ubunge wanawake.....
  8. U

    JamiiForums Tanzania Swali la uchokozi: CCM ikiweka picha ya Magufuli akifanya mkutano Monduli nawapa kura yangu

    haa haa tunaomba ummati...jemalori hayakusomba watu?
  9. U

    JamiiForums Tanzania Swali la uchokozi: CCM ikiweka picha ya Magufuli akifanya mkutano Monduli nawapa kura yangu

    mimi nimeomba humu tangu asubuhi..
  10. U

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa mkoa wa Mara (Serengeti,Tarime)

    mbeya tar. 14 wajiandae....
  11. U

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa mkoa wa Mara (Serengeti,Tarime)

    kabakiza mwanza,mara,pwani na mbeya nadhani....
  12. U

    JamiiForums Tanzania Wao wameshindwa Monduli. Lowassa ameweza Karatu na Chato

    naomba mwenye picha ya lowasa akiwa chato atuwekee hapa.pia mwenye picha ya magufuli akiwa monduli tafadhali...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Siku kumi muhimu kwa ushindi wa Lowassa

    mkuu huko ndo kule ambako mtoto wa marehemu celina kombani amerithi jimbo ili agombee ubunge. kama ukawa wangeongeza vikosi vya ardhini moro ilibidi ungekuwa mkoa wa kimkakati wa kikampeni...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Lowassa kadanganya watu wa Namanga kuhusu Uchumi wa Tanzania

    haa haa rwanda si chochote kwa lipi?
Back
Top Bottom