Recent content by Underceteris

  1. U

    JamiiForums Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Hahahahahahah washenzi wa istagram sijui wamefikaje jf
  2. U

    JamiiForums Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Safi mkuu....nadhani ushaanza ona matokeo
  3. U

    JamiiForums Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Ni kweli mkuu; mi nachoka mwenyewe kukaa kifuani
  4. U

    JamiiForums Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Ukiwaendekeza watu utakufa na tai shingoni mkuu
  5. U

    JamiiForums Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Kweli kabisa mkuu; unaweza kufikiri umelogwa na kutengezneza visingizio kibao kumbe wewe ni jinsi unavyokula
  6. U

    JamiiForums Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Mi sio daktari nimetafuta maarifa kutoka vyanzo tofauti baada ya madaktari kushindwa kunisaidia nimeamua kufikiri nje ya box ndo nikafanikiwa kwa kutumia hivyo vitu hapo juu
  7. U

    JamiiForums Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Basi katafute madawa ya wafanyabishara watakusaidia mkuu. M nimeleta ushuhuda tu kwa ajili ya kuwasaidia wanaohitaji siyo wewe.
  8. U

    JamiiForums Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Sijapata time ya kumfuatilia mkuu; nitamfuatilia keep reminds me
  9. U

    JamiiForums Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Sitaki zungumzia biashara za watu mkuu. We fanyia kazi ujumbe.
  10. U

    JamiiForums Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Labda ungetuambia kazi ya mbegu za majani ya maboga ili kupata maarifa zaidi ila kama unaweza kupata tikiti/tango/ndizi kitunguu saumu/tangawizi asali usiache kutumia mkuu ni kwa faida yako
  11. U

    JamiiForums Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Tatizo sio madaktari. Biashara ya madawa ni biashara kubwa sana duniani ndio maana vitu kama hivi huwezi kuvipata kirahisi mpaka uwe unafikiri nje ya box ww ulishawahi kujiuliza hayo madawa yanatengenezwa na nn kama sio hivi hivi vitu ninavyowaambia fuatilia ingredients za madawa mengi kama...
  12. U

    JamiiForums Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Vitunguu vya kumenya na mashine si vya biashara mkuu😀😀😀
Back
Top Bottom