Recent content by Under God

  1. Under God

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hahahaaaa haya sawa mkuu
  2. Under God

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ha ha haaaa, haina noma
  3. Under God

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wanasimamiaga wenyewe mwanzo mwisho, ni kama ilivyokuwa tra tu
  4. Under God

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mkuu tuma maombi, mwaka juzi kuna wadau 2 waliramba asali na hawakupita jkt. Utakuja kunishukuru baadae
  5. Under God

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ha ha haaa sio mchezo
  6. Under God

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Tupe lonja mkuu... tuendelee kujifariji
  7. Under God

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kitambo sana...
  8. Under God

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kuna mdada kipindi icho nasoma alikuaga ana matatizo ya kuanguka² na kupoteza faham kabisa, kumbe alikuja zama jw na mpaka now yupo huko
  9. Under God

    JamiiForums Tanzania Ajira NSSF kwa watu wa ndani tu

    Mala ya mwisho ajira za nssf kupitia psrs ni mwaka gani?
  10. Under God

    JamiiForums Tanzania Nani ameshawahi kupata Kazi au internship kupitia TaESA (Tanzania Employment Agency)?

    Kuwa mvumilivu tu mkuu, Mungu atakujalia na soon utaona mambo yananyoka. Ila usichoke angalia na fulsa nyingine2
  11. Under God

    JamiiForums Tanzania Nani ameshawahi kupata Kazi au internship kupitia TaESA (Tanzania Employment Agency)?

    Katika halakati zangu za hapa na pale, nimekutana na mshikaji wangu alisoma uchumi akaja pata internship mahakamani. Katika stori mbili tatu, kumbe jamaa baada ya mkatakaba wa TaESA kuisha akalamba asali moja kwa moja. Nimejifunza, katika utafutaji usizarau fulsa utakazo pata/ zinazokuja mbele...
  12. Under God

    JamiiForums Tanzania TAESA imekuwa ni janga kubwa la kukata ndoto za vijana. KwaniniSerikali (PSRS) isianze na vijana wa TAESA kwanza kwa uzoefu walio nao?

    Kama huna ishu ya kukuingizia hicho kiasi na upo karibu nenda tu
  13. Under God

    JamiiForums Tanzania TAESA imekuwa ni janga kubwa la kukata ndoto za vijana. KwaniniSerikali (PSRS) isianze na vijana wa TAESA kwanza kwa uzoefu walio nao?

    Hivi kumbe inawezekana, ikiwa bahati ukapewa mkataba wa kudumu kwenye baadhi ya hizi taasisi
  14. Under God

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kwa waliofanikiwa kupitia TAESA

    Hili swala la kulipwa ni taesa ndio wanakulipa au taasisi uliyopelekwa ndio inakulipa?
  15. Under God

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hatimaye
Back
Top Bottom