Recent content by Umuntungabantu

  1. U

    Biashara ya Barbershop

    Kwema wazee! Naomba kujua machache kuhusu biashara ya saloon classic za kiume barbershop. Mtaji kiasi gani? Maeneo yapi ya jiji la Dar zinalipa? Je, mimi ndo nawalipa vinyozi au wao wananipa mimi hesabu? Ukiwa na scrub na massage unachukua kiasi gani kwa wale wa Dada na kwa vinyozi? Asante sana.
Back
Top Bottom