Recent content by umshana

  1. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu Waingereza wameshaleta roketi za umbali mkubwa zaidi. Je uliona jibu gani???
  2. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ndiyo, ni silaha dhaifu hadi sasa. Wapi silaha zu kupiga ndegevita kwa umbali wa wastani? Wapi roketi zinazofikia vituo ambako Putin anarusha roketi na ndege zake? NATO inazuia kupatikana kwa silaha hizo upande wa Ukraine. Hukujua bado
  3. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu nilisema wapi Puzin anataka kuoindwa na NATO? Lakini NATO inazuia Ukraine kushambulia Urusi kwa kutumia silaha kutoka kwao. NATO inazuia pia silaha kali zaidi zinazoweza kupiga ndani ya Urusi. Hali hiyo uite unavyopenda. mimi nasema: wanamlinda Putin hadi sasa ...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu unajua vema Putin hakuona bado kikosi chochote cha Nato dhidi yake. Anapambana na jirani mdogo anayepokea silaha kadhaa kutoka NATO, tena si silaha bora na idadi ndogo.... Hadi sasa Putin analindwa na NATO.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu wapi nilisema Prigo ameasi? Niliandika tu ukweli kwamba vikosi vyake vilivamia makao makuu ya jeshi huko Rostov, kuelekea Moscow na kuangusha helikopta chache cha jeshi la Kirusi. Pia kwamba Prigo alimtukana vibaya mkuu wa jeshi la urusi na waziri wa ulinzi na kudai eti wauawe. Nasikia kwa...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu kama Putin angekuwa na ndegevita 10 zilizokuwa tayari kupiga Wagner ningekubali. Ila jana hali ilionekana tofauti. Rostov penye makao makuu sijasikia kuhusu askari hata MMOJA aliyekuwa tayari kusimama dhidi ya Wagner. Voronesh kulikuwa na upinzani kidogo, haukutosha kuwasimamisha...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Rais mstaafu gani? Lini?
  8. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu sijui wewe uliona au hujaona nini. Mimi niliona vita ya pili ya Marekani huko Iraq ilikuwa vibaya na jinai. Tofauti na vita ya kwanza iliyokuwa tenda halali la kumwadhibu mwuuaji mbaya aliyewahi kumshambulia jirani mdogo.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu kama jeshi la Urusi si tayari kupigana na Wagner, hakuna kazi ya kushinda jeshi hilo... Hivyo ndivyo jinsi ilivyoonekana jana.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Jana Putin alimtisha Prigo eti atamwadhibu vikali. Leo anapaswa kumsamehe. Amegonga mipaka ya uwezo wake. Jeshi la Urusi halikuwa na askari waliokuwa tayari kumpinga Wagner. Waliweza kuingia Rostov makao makuu jinsi walivyotaka. Wakaendelea kuelekea Moscow. Hakuna aliyewasimamisha. Tutasikia...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kichwa kitupu lakini akiba ya matusi bado?
  12. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ndiyo Urusi ilidai kuchukua nafasi ya USSR katika mikataba ya kimataifa wengine walikubali.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Wewe huamui hapa. Swali lilikuwa kuhusu NATO na Iraki. NATO haikuhusika Irak. Ukiona tofauti, lete ushahidi (azimio, tarehe)
  14. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu hujaelewa bado kazi ya Baraza la usalama inaenda namna gani???? Baraza hili kuna wanachama 5 wa udumu. Kila mmoja ana mamlaka ya kuzuia azimio lolote (Veto power). Azimio 1973 lililoamuru kuzuia miendo ya jeshi la anga la Libya na mashambulio dhidi ya wananchi wa Libya lichukuliwa na...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu jielimishe kidogo kabla ya kuandika. Irak haina uhusiano na NATO. Libya ilikuwa azimio la Baraza la Usalama la UM. Nato walitekeleza tu.
Back
Top Bottom