Recent content by umbwa

  1. U

    Natafuta soko la ukwaju, anayehitaji nitafute

    Kwa sasa niko Tabora......... Nilikuwa nafikiri kuusogeza daressalaam au mwanza but inabidi nipate kwanza soko la uhakika
  2. U

    Natafuta soko la ukwaju, anayehitaji nitafute

    Habari wana JF, mi ni mjasiriamali chipukizi............... Najishughulisha na kukusanya zao la Ukwaju. Mwenye uhitaji naomba anitizame inbox tuzungumze
  3. U

    Nokia Asha 210 double line inauzwa

    Nokia asha 210 iko vizuri. Mawasiliano 0759638336
  4. U

    Mtungi mdogo wa gesi unauzwa

    0759638336
  5. U

    Mtungi mdogo wa gesi unauzwa

    bei maelewano, hatuwezi shindana.......... Niko Sinza, Dar.
  6. U

    Mtungi mdogo wa gesi unauzwa

    niko sinza Dar es salaam, ni Oryx
  7. U

    Mtungi mdogo wa gesi unauzwa

    Mtungi mdogo unauzwa na una vifaa vyote tayari kwa kupikiwa......
  8. U

    Ni kwa nini IFM inatunuku shahada (Degree) wakati siyo Chuo Kikuu?

    hufahamu maana ya taasisi kaa kimya......... Kwani kuna chuo ambacho si taasisi?
  9. U

    Ni kwa nini IFM inatunuku shahada (Degree) wakati siyo Chuo Kikuu?

    huyu kama sio chizi ni bwabwa....... Chuo kikuu si lazima kiitwe university! Kiingereza ni lugha mtambuka sana na kwa taarifa yake IFM inatoa masters...
  10. U

    IFM Registration

    kwa wale walioko chuo hiki au yeyote mwenye msaada wa taarifa. Kwenye join kuna maelekezo kuwa ili upate usajili hapo IFM ni lazima ulipe 1,150,000 mi naona kama hii ni hela kubwa sana kwa kuanzia hasa kwa sisi ambao hatujapata mkopo wa bodi. Swali ni je, wanaweza kukupokea bila kulipa kiasi...
  11. U

    wanafunzi wote wa kidato cha sita tuungane kwa tamko moja kupinga maamuzi ya jkt......awamu ya 3

    kiongozi aliyewekwa madarakani kishkaji hawezi kuwa makini.
  12. U

    Hakuna jkt awamu ya tatu sasa mpaka 2016

    ni fujo za uongozi mbaya ulioko madarakani
  13. U

    Naombeni ushauri, nampenda mke wangu lakini...

    kama ni mtazamaji wa porn acha..... Nimesoma article fulani kwa watu ambao wako addicted na pornography huwa inafika kipindi wanashindwa kusisimka wawapo na actual partners wao. Pia usiliwaze hilo wakati wa tendo kwani litakujaza hofu na kupelekea mambo kujirudia.pia jaribu kumshirikisha mkeo...
  14. U

    bwana heslb huyooooo

    hivi humu wanaruhusu matusi?Maana kuna watu wanakera ki-K......
  15. U

    Tatizo la kuunguruma kwa tumbo

    yah.... Thanks ila huko net lugha inakuwa complex sana ndo maana natafuta mtaalamu mswahili mwenzangu
Back
Top Bottom