Natamani sana kufanya biashara ya mazao, mbali na hapo ata nikipata kazi ambayo itaniingizia kipato halali na chenye kukidhi mahitaji yangu siyo mbaya. Natamani sana kuwa na biashara iliyo sitawi vyema ambayo itasaidia kuniondoa kwenye huu ukata nilionao kwa Sasa. Natamani niwe na pesa nyingi.
Nashukuru kwa ushauri wako, nimejaribu kuzunguka sana mpaka Sasa nipo kwenye hii mikoa ya nyanda za juu kusini. Nimezunguka mikoa ya Kanda ya ziwa, Kanda ya Pwani lakini hakuna sehemu nimepata hauweni ya maisha ndugu yangu. Baada ya kukaa na kufikiria sana ndyo nikapata wazo la kumtafuta...
Nakubarliana na wewe, Ila kulingana na hali ninayo ipitia kwa Sasa Sina budi kutafuta namna ya kujinasua ndugu yangu. Hatuwezi kusubili tu mambo yaje yenyewe, tunapaswa kujipambania kwa Kila namna.
Habari zenu ndugu zangu?
Naomba msichoshwe na heading ya huu Uzi, najua Kuna nyuzi nyingi za namna hii zimekwisha kuandikwa humu. Nimejaribu kutafuta msaada kwenye nyuzi zilizopita Ila sijafanikiwa kupata msaada, ndiyo maana nimechukua maamuzi ya kuanzisha Uzi mpya.
Kama kichwa cha habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.