Ndugu zangu tuishi kwa kujua hili;maisha hayatakuwa fair kwako;hutakuja kutendewa haki hata kama unaposses extraordinary skills!Serikali na mgawanyo wa keki si lazima ukufikie au ukukaribie.
What you can do is stick on your pace,don't pay your attention and give your time to wanasiasa and the so...
Kiongozi with all due respect,naomba kusema wew hauna akili!Nnaponunua simu Serikali inafungu,nikinunua vocha Serikali inafungu,nikiRenew line serikali inafungu,nikitumia huduma za kifedha kwenye laini hyohyo Serikali inafungu,nikichaji simu(umeme) Serikali inafungu!!!Sasa wew unataka fungu gani...
Hili ndilo tatizo kubwa zaidi Tanzania kuliko hata ufisadi...Ingetakiwa woote tuandamane hayo ya kuangalia nan kaandaa maandamano ni ya baadae...Nnaamini tungeleta mshtuko mkubwa Serikalini lakin kwa kujigawa huku ndo tushapoteza kabiiiisaaaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.