Huyu bwana hua simuelewi hata kidogo, alizua mjadala wa Zanzibar kua nchi ama la. Kuna wakati alilia bungeni . Kuna wakati alimtimua mtendaji kwa makosa ya uongo, yaani pinda haijulikani hua anawazaje....
Ndugu wanajamii forum, ni mara yangu ya kwanza kuingia hapa na kuomba msaada wa kisheria.
Huyu mdogo wangu amepata kua mfanyakazi kwenye NGO kwa muda Fulani hadi pale mkataba wake ulipokwisha. Amewahi kupata pesa ya advance akiwa km mfanyakazi mpaka sasa bado hajaweza ku retire(liquidate) . Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.