kaka kaka sijui sana njia zipi huwa unazitumia bt u hv to know that kwanza lazima umuoneshe gl kama unamjali na kumthani si kwa pesa bali the way to talk to her, the way u chat unatumia maneno gani mazuri, yenye busara, yanayovutia nearly every mornie, mchana na jioni with da nyt yan, toka naye...