Recent content by Ujasiri mali

  1. U

    Punguza gharama za chakula cha mifugo kwa asilimia 50 mpaka 100

    Nielekeze jinsi ya kuipeleka uko ndugu M najua nimeiandika kwenye hilo jukwaa
  2. U

    Punguza gharama za chakula cha mifugo kwa asilimia 50 mpaka 100

    Habari zenu wana JF, Natumaini mko salama bukheri wa afya tele. Tumia mda wako kusoma huu ujumbe natumaini utakua msaada kwako lengo n kusaidiana na sio kujinufaisha elimu hii inatolewa bureee bila gharama yoyote. Mahitajio ya chakula mbalimbali ususani nyama.mayai,samaki,mboga za majani n.k...
  3. U

    Shituka haraka sana unapoona biashara yako imekuwa yebo yebo

    Unaweza fungua biashara wrong location kwanini uendelee kukomaa na sehemu isiyosahihi tangu ufungue biashara no profit kodi unalipa kutoka pesa ya mfukoni kwako mwaka mzima umekata biashara haisomeki why usijaribu sehemu nyingine... Kama umefungua biashara ikaenda vyema competitor wakaja hapo...
Back
Top Bottom