Recent content by UHURU ONE

  1. U

    JamiiForums Tanzania Soko la muhogo

    Habari wadau, mimi ni mkulima kutoka Mtwara Mkoani nina muhogo hekari tatu na upo tayari kuliwa nina tafuta soko la kuchimba mzigo wote kwa mkupuo. [emoji1488] # 0693 391 566
  2. U

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Maboga

    Habari wakuu nina mzigo wa maboga safi ya kienyeji takribani 500 yapo Mtwara Mjini nawakaribisha tufanye biashara tuwasiliane kwa namba 0693391566.
Back
Top Bottom