Recent content by Ufipa-Kinondoni

  1. Ufipa-Kinondoni

    Mwambie Zitto Kabwe anachofanya ni kutoa mimba kabla ya mtoto kuzaliwa

    Umeanza kuelewa kilichosemwa? Kuna ACT tena? Membe kabeba mikoba kaondoka. Tamaa inaua vyama vyetu.
  2. Ufipa-Kinondoni

    Mwambie Zitto Kabwe anachofanya ni kutoa mimba kabla ya mtoto kuzaliwa

    Kuna watu hampendi kusikia. Leo Membe yuko wapi? Hapo ndio ACT kufa kabla haijashiriki hata uchaguzi mmoja.
  3. Ufipa-Kinondoni

    Uchaguzi 2020 Ushauri - CHADEMA iongezee Timu ya kampeni na Lissu aende Majimboni

    Usijiaminishe katika kufeli. Chadema wanahitaji kusuka safu yake ya kampeni. Bila hivyo utasikia kilio mwishoni na majibu yake yatakuwa kama tunavyoleta ushauri hapa. Baado kuna haja ya Chadema kuangalia namna bora ya kufanya Kampeni na kuunda timu ya maana ya kitaifa. Lissu hata angekuwa...
  4. Ufipa-Kinondoni

    Uchaguzi 2020 Ushauri - CHADEMA iongezee Timu ya kampeni na Lissu aende Majimboni

    Ukiangalia kiundani unaona kwa nini CCM inaweza shinda uchaguzi huu kiurahisi sana. Ni namna walivyojipanga katika Kampeni zao. Kila Mkoa na Wilaya unaona kuna mtu mwenye Ushawishi ndani ya Chama anasaidia kufanya kampeni za wagombea Ubunge au Udiwani. Nimeona Kinana, Kikwete, Ndugai, n.k...
  5. Ufipa-Kinondoni

    Mwambie Zitto Kabwe anachofanya ni kutoa mimba kabla ya mtoto kuzaliwa

    CCM haing'olewi na mikakati ya nje.
  6. Ufipa-Kinondoni

    Mwambie Zitto Kabwe anachofanya ni kutoa mimba kabla ya mtoto kuzaliwa

    Sisi ni wapiga kura. Na ndio tunaona kuwa ACT haitakiwi kukabidhiwa kwa wasio na falsafa yake ya mwanzo. CCM hata usipoisemea iko mbali sana.
  7. Ufipa-Kinondoni

    Mwambie Zitto Kabwe anachofanya ni kutoa mimba kabla ya mtoto kuzaliwa

    Ukisema hayo napata shida. ACT hawana historia na wasipende mabadiliko yasio na mizizi kama CDM walichofanya. Pia usisahau NCCR nao wapo. Tunakoelekea kunahitaji ueledi wa hali ya juu sana zaidi ya kupapalikia mafanikio. ACT na Chadema ndio wanapambania nafasi ya pili… so usitegemee kuna mtu...
  8. Ufipa-Kinondoni

    Mwambie Zitto Kabwe anachofanya ni kutoa mimba kabla ya mtoto kuzaliwa

    Ni kweli kuwa ACT iko juu ya CDM mitaani na uweza. Ila wasijiloge.
  9. Ufipa-Kinondoni

    Mwambie Zitto Kabwe anachofanya ni kutoa mimba kabla ya mtoto kuzaliwa

    Mkuu, CCM hii haiwezi kutolewa na mtu mwenye haiba ya Membe. Membe hata baadhi ya mikoa hajulikani na bahati mbaya hana backup kama ya Lowassa. Zaidi ataiua ACT kabla haijaanza kupumua.
  10. Ufipa-Kinondoni

    Mwambie Zitto Kabwe anachofanya ni kutoa mimba kabla ya mtoto kuzaliwa

    Sikatai Membe kujiunga na ACT ila si kupewa kugombea Urais. Ana haki zote ila asifikiri CCM wajinga mpaka Membe anaondoka. Kama mpinzani wa kweli ampe miaka 5 tu atapata jibu.
  11. Ufipa-Kinondoni

    Mwambie Zitto Kabwe anachofanya ni kutoa mimba kabla ya mtoto kuzaliwa

    Nasema ingawa najua wengi hawapendi kusikia hasa kwa vile hawana maeneo ya kukimbilia. Anachofanya ZZK, Zitto ni sawa na kuhalalisha utoaji wa mimba katika chama chake. Wakongwe wameshindwa anachofanya kwa sasa. Chadema wamefanya wakagundua kuwa ina shida. Mwaka huu wameelewa nini maana ya...
  12. Ufipa-Kinondoni

    Uchambuzi: Naamini Tundu Lissu si Mwafaka Kugombea Urais 2020 (2)

    Kwani wamesema wao? Tofautisha kelele na kauli. Vyama vyetu vyote kelelele tu.
Back
Top Bottom