Recent content by Uchumi TV

  1. Uchumi TV

    JamiiForums Tanzania Rais Samia athibitisha uwepo wa Ugonjwa Marburg Tanzania

    Rais Samia akitoa taarifa kwa Mkurugenzi mkuu wa WHO jijini Dodoma amesema kuwa mmonjwa mmoja amekutwa na ugonjwa huo kutoka mkoa wa Kagera na wengine 25 waliopimwa baada ya kushukiwa hawakukutwa nao. Amesema serikali inaenelea kufaya uchunguzi zaidi. https://www.youtube.com/watch?v=Atn0fKyOmu4
  2. Uchumi TV

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ng'wasi Damas Kimani: Binti liyeshawishi wajumbe kumpitisha Samia kuwa mgombe Pekee CCM

    https://www.jamiiforums.com/threads/ngwasi-d-kamani-the-most-brilliant-lawyer-from-tanzania-i-have-ever-met.2183526/
  3. Uchumi TV

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ng'wasi Damas Kimani: Binti liyeshawishi wajumbe kumpitisha Samia kuwa mgombe Pekee CCM

    Huyu binti Ngwasi wengine wakiumuita Mwasi ni mbunge kupitia vijana na anatokea mkoa wa Mwanza. Pia ni mwanasheria ambaye aliwahi angaziwa ahapa JF kupitia uzi huu. https://www.jamiiforums.com/threads/ngwasi-d-kamani-the-most-brilliant-lawyer-from-tanzania-i-have-ever-met.2183526/page-2 jana...
  4. Uchumi TV

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi:Sifa za wanaotajwa kuwa mmoja atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa.

    https://www.jamiiforums.com/threads/wakati-wa-kumjua-aliyempa-sumu-mzee-mangula-umefika-rasmi.1939294/
  5. Uchumi TV

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi:Sifa za wanaotajwa kuwa mmoja atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa.

    Wanaotajwa sana na vyombo vya habari,mitandao na makada wa CCM kuwa mmojawao atateuliwa kuwa makamu mwenyekiti wa CCM Taifa ni hawa hapa. 1.Paul Kimiti 2.Abdulah Bulembo 3.Mizengo Pinda 4.Dr Bashiru Ally Kakurwa 5.Yusuph Makamba 6.Frederick Sumaye 7..Dr Asharose Migiro 8.Anna Makinda 9.Steven...
  6. Uchumi TV

    JamiiForums Tanzania Mch Msigwa asema matumaini yapo CHADEMA akihutubia mkutano wa CCM

    Hata hivyo haijajulikana mara moja kama alimaanisha au alitaka kusema Tumaini lipo ndani ya CCM. bado hakuweza kupataikana kutoa ufafanuzi juu ya kauli yake hiyo Alikuwa akiongea katika mkutano mmoja mkoani Kagera. Hotuba yake nzima unaweza kuitazama katika link hapa chini...
  7. Uchumi TV

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki tuondoleeni utata huu. Mtuhumiwa wa mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi ni Padri au siyo?

    https://www.jamiiforums.com/threads/bukoba-kauli-ya-kanisa-juu-ya-padri-anayedaiwa-kuhusika-kifo-cha-mtoto-mwenye-ualibino.2225679/#post-50563241
  8. Uchumi TV

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Kauli ya kanisa juu ya Padri anayedaiwa kuhusika kifo cha Mtoto mwenye Ualibino.

    kwa majibu wa taarifa iliyotolewea na msaidizi wa askofu samuel mchunguzi ni kuwa suala hilo nao wanashangaa na hawajui kama mtajwa ni padri wao la maana hawakuhusishwa au kuulizwa kabla ya kutoa taarifa hizo. mtazame kwa mjibu wa millardayo https://www.youtube.com/watch?v=Wo0HElBQcTs
  9. Uchumi TV

    JamiiForums Tanzania Kagera: Yanayojiri Uchaguzi CHADEMA Bukoba kanda ya Victoria

    Update. Mshindi wenje anafanya mkutano wa shukrani mjini Bukoba baada ya kushinda https://www.youtube.com/live/90YbP0dT9xw?si=93i22NVASYHzOQs3
  10. Uchumi TV

    JamiiForums Tanzania Kagera: Yanayojiri Uchaguzi CHADEMA Bukoba kanda ya Victoria

    Update. Matokeo yalitangazwa usku. Hata hivyo tulipeleka live streaming. Wenje alitangazwa mshindi. Kwa mjibu wa msimamizi hakuna kura iliyoharibika kati ya wapiga kura 72. Unaweza kutazama hapa https://www.youtube.com/live/mVv2HX9_cSM?si=epq5lcKJWCW9ZQPC
  11. Uchumi TV

    JamiiForums Tanzania Kagera: Yanayojiri Uchaguzi CHADEMA Bukoba kanda ya Victoria

    UPDATE: Saa 4:04PM Breaking News: John Pambalu na timu ya watu wengine kama saba hivi wametoka katika ukumbi wa mkutano na kuondoka. tumejaribu kumuomba aongee kilichotokea katika ukumbi huo amesema hayuko tayari kusema lolote. ndani ya ukumbi mkutano unaendelea na huyu mgombea ashaondoka jumla...
  12. Uchumi TV

    JamiiForums Tanzania Kagera: Yanayojiri Uchaguzi CHADEMA Bukoba kanda ya Victoria

    UPDATE: saa 3:07PM Waandishi wa habari wameombwa kutokwenda live na kutoka ukumbini kwa muda. kwa sababu ya kinachoelezwa kuwa wana mambo fulani ya ndani ambayo hayapaswi kwenda public. hivyo tumesitisha live streaming na kutoka hadi hapo baadaye. tunaendelea kuwepo hapa nje kujua hatma ya...
  13. Uchumi TV

    JamiiForums Tanzania Kagera: Yanayojiri Uchaguzi CHADEMA Bukoba kanda ya Victoria

    https://youtube.com/live/4g8JsoVB9NU
Back
Top Bottom