Recent content by Uchile

  1. Uchile

    Natafuta wanunuzi wa mayai

    Ahasante sana.
  2. Uchile

    Natafuta wanunuzi wa mayai

    Ok mkuu.
  3. Uchile

    Natafuta wanunuzi wa mayai

    Kiwanda cha mayai kivipi sijaelewaa.
  4. Uchile

    Natafuta wanunuzi wa mayai

    Ok fine!
  5. Uchile

    Natafuta wanunuzi wa mayai

    Ahasante mkuu kwa ushaur.
  6. Uchile

    Natafuta wanunuzi wa mayai

    Ok brother
  7. Uchile

    Natafuta wanunuzi wa mayai

    Mkuu ufugaji wangu ni wa kisasa na nimefuga kwa kuzingatia kila kitu, kwa hiyo nimejarbu kupiga hesabu nikiuza kwa hiyo bei ndio ntarudisha pesa yangu.
  8. Uchile

    Natafuta wanunuzi wa mayai

    Mkuu hiyo ni wewe unasema. Mimi nauza trey kwa 11,000 Tsh, hizo zingine bei unazo panga ni wewe.
  9. Uchile

    Natafuta wanunuzi wa mayai

    Hawa kuku nimefuga kitalamu, wanatumia vyakula asili na nyasi. Ukihitaji ntakupa maelekezo ya kutosha.
  10. Uchile

    Natafuta wanunuzi wa mayai

    Angalia hizo za kwenye trey nimeweka mkuu
  11. Uchile

    Natafuta wanunuzi wa mayai

    Wa mbali unaletewa usafir upo, pia haya mayai huuzi kama ya kisasa, utauza kwa bei ya mayi ya kienyeji lakini kwa bei pungufu kidogo. Karbu tukuhudumie.
  12. Uchile

    Natafuta wanunuzi wa mayai

    Kuanzia trey 10 nakuletea hadi nyumbani. Oder uwezavyo mzigo upo wa kutosha.
  13. Uchile

    Natafuta wanunuzi wa mayai

    KARIBU TUFANYE BIASHARA.
Back
Top Bottom