Kwa sasa utaratibu umebadilika kupata io ela ni mziki sana labda kama unataka asilimia 33.3 % ya mshahara wako wa mwisho kwa muda wa miezi 6. kama umechangia kwa muda wa miezi 18 na utapata asilimia 50% ya michango yako yote kama umechangia chini ya miezi 18 kwa mara moja io asilimia 50%...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.