Kwa mujibu wa sheria, TARURA ina mamlaka ya kutoza ushuru wa maegesho katika maeneo maalum ambayo yametengwa na kuandaliwa kwa ajili hiyo.
Hata hivyo, kinachoendelea katika baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam kinaibua maswali kuhusu utaratibu wa utozaji huo.
Unapokwenda kwenye baadhi ya...
Leo tarehe 02/10/2026 nilikuwa namsindikiza mtu kusafiri Airport (JNIA), nikakuta gharama za kuegesha magari zimepanda.
Nilikaa dakika 15 lakini nikalipa TZS 3,000 cha kushangaza zaidi hela hiyo haiendi kwenye mamlaka husika bali kwenye kampuni inaitwa PARKTECH TANZANIA.
Baada ya kufuatilia...
Hapa nimekuandikia vizuri, kwa Kiswahili fasaha na cha kitaalamu - tayari kwa kutuma TAA au kuposti:
---
MALALAMIKO KUHUSU GHARAMA MPYA ZA MAEGESHO - JNIA
Leo tarehe 02/10/2026 nilifika katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) kumsindikiza ndugu yangu anayesafiri...
Halmashauri ya Ilemela mkoani Mwanza imelekeza uongozi wa soko la Sabasaba lililopo maeneno ya Kiseke kutupa takataka barabarani baada ya eneo walilokuwa wanatumia awali kupewa mwekezaji. Takataka hizo zinatupwa barabarani katika makazi ya watu na karibu na mama ntilie kitendo kinachoweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.