Ndugu wana jamii forum ni matumaini yangu kua mu bukheri wa afya.
Sasa ndugu zangu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kukojoa mara kwa mara pasipo maumivu yoyote isipo kuna hali fulani hivi ya kuvimba upande wa kushoto pindi napo taka kukojoa ma kabla ya kukojoa. Na sikwamba nakunywa maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.