Habari wadau?
Nina tatizo la mwili wangu kuwa na joto muda wote na mate yanakuwa ya uchungu na hilo joto inafikia kipindi mpaka mwili unaniwaka sana moto!
Nilipima kipimo cha full blood picture nikaambiwa niko fresh! ila nikamuambia Doctor unaniambia niko fresh ila najisikia joto ambalo siyo...
App za bure zina limit ya size ya data ku recover nyingi sana utakuta mb100 sasa mm nakutana na mtu kafuta HDD yote au Partition yote unakuta si chini ya GB 30 au 40 kulingana na ukubwa wa data zake huwez ku recover kwa app za bure au unakuta umemaliza kupiga window alaf partition imejihide...
asikudanganye mtu cha bure kina limit ya kufanya kazi tofauti na app ya kulipia kuna sehem utafeli tuu huwez ku recover GB 10 za Data kwa app ya bure hyo kitu haipo labda uwe umefuta mb 5 hzo data zako ndo unataka kuzirudisha lakn kama upo kikaz kama mm nakutana na mtu amefuta HDD yote au...
Si ume klem??? haya waambie wapakue hiyo app mm wala sijachukia wala kukuona mbaya safi sanaa pakueni recuva bure bure alaf mtu arudishe data alizopoteza kama nilivyoorodhesha hapo juu.
ila cha kuzingatia hz ni kaz za watu usiish maisha ya kukalili nadhani wataalam wanaelewa hizi kazi ni za app...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.