Recent content by twayibati

  1. T

    CAG kaficha ripoti za TANESCO na NHC?

    kutokana na weledi wa huyu mzee siamini kama kweli kaficha hizo ripoti mmejaribu kwenye tovuti ya National Audit?
  2. T

    Msaada wa China: Haya ni baadhi tu ya masharti

    Watetezi wa mwakyembe wako wapi leo?
  3. T

    Serikali yajibu mapigo: Mikataba yote kuwekwa wazi mtandaoni

    Kwenye taarifa ya habari ya TBC mchana huu serikali imesema kuwa kila wizara na idara ya serikali itaweka mikataba yote iliyosainiwa kwenye mtandao katika masaa 24 yajayo ili kuondoa hali ya kutolewa kwa taarifa zisizo za ukweli juu ya mikataba ambayo imeingia na serikali na mashirika mbali...
Back
Top Bottom